Global Love Day
Siku ya upendo ulimwenguni
Upendo waaanza na mimi
May 1, 2009
Ungana
na wengine ulimwenguni kuongeza
na kusheherekea upendo.
Sisi
ni wamoja katika sayari hii.
Uhai
wote unahusiana na kujisimamia.
Sote twa shiriki upendo mmoja.
Upendo huanza na kujikubali na kujisamehea.
Kwa
uvumilivu na imani twakubali utofauti.
Pamoja tutaleta mabadiliko kwa upendo.
KUWA MMOJA WAO. TEMBEZA NENO.
globalloveday @thelovefoundation.com
The
Love Foundation, Inc., P.O. Box 10114, Tampa, FL
33679-0114
USA
a
501(c)3 nonprofit organization